Zitto Kabwe ‘Tutakata Rufaa NEC Kuhusu Wagombea Wetu Kuenguliwa’, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema kati ya Wagombea 218 wa chama hicho katika majimbo yote nchini, wagombea 40 hawakuteuliwa kabisa, wagombea 22 wameenguliwa kwa mapingamizi Tanzania Bara na 14 Zanzibar (9 Pemba)Zitto Kabwe ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba Chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai hakiPia amedai wanaunga mkono tamko la Mwenyekiti wa chama hicho pamoja Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwamba lazima wadai haki ya wagombea wao na usawa katika Uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa,

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema kati ya Wagombea 218 wa chama hicho katika majimbo yote nchini, wagombea 40 hawakuteuliwa kabisa, wagombea 22 wameenguliwa kwa mapingamizi Tanzania Bara na 14 Zanzibar (9 Pemba)

Zitto Kabwe ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba Chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki

Pia amedai wanaunga mkono tamko la Mwenyekiti wa chama hicho pamoja Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwamba lazima wadai haki ya wagombea wao na usawa katika Uchaguzi kutokana na wagombea wengi wa vyama vya upinzani kuenguliwa,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *