Zitto Kabwe akiwa kitandani “gari imezunguka mara tano, gari yetu ilitugonga” (+video)

October 7, 2020

 

Zitto Kabwe ameeleza kuwa gari iliyowagonga ilikuwa ni ya Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini kwa Chama cha ACT Wazalendo na imetokea baada ya vumbi kutanda barabarani hivyo dereva hakuona mbele.

“Tulikuwa tunawahi mkutano njiani tulipata ajali, sikujua chanzo cha ajali mwanzoni niliona tu gari inazunguka kama mara tano, bahati nzuri wote tumetoka salama, gari yetu ya nyumba inayotumiwa na mgombea Ubunge Kigoma Kusini ndio ilitugonga” Zitto Kabwe

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *