Ziara ya afande Kamishna Dkt. Mussa Mkoa wa Mtwara,

October 8, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akimsikiliza Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi, Dkt. Mussa Ali Mussa alipitfika ofisini kwake akiwa kwenye ziara ya kikazi mikoa ya Kusini kufanya Ukaguzi ili kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 unafanyika salama na kwa amani.

Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii, Dkt. Mussa Ali Mussa akitoa maelekezo ya kiutendaji kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Mark Njera pamoja na timu yake ya Mkoa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *