Zari Atokwa na Povu Kisa Mashabiki ‘Mnasuburia Nizeeke ili mfanikiwe’

September 17, 2020

 SIKU chache baada ya mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, kuanika siri ya maisha yake na baadaye kushambuliwa na mashabiki, ametokwa na povu na kuwajibu wanaomsema vibaya. Zari ambaye makazi yake ni mjini Durban, Afrika Kusini, alipost kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika kuwa, tangu akiwa mdogo alikuwa na mawazo na ndoto kubwa za kufika alipo sasa (akimaanisha umaarufu na utajiri alionao sasa).“I was once a small town kid with big vision. Dreams are surely valid,’’ aliandika Zari kwenye ukurasa wake wa Instagram. Baada ya kuandika hivyo, baadhi ya mashabiki walianza kumshambulia kwa maneno ambayo Zari hakuyapenda kiasi cha kuwajia juu.“Wewe ulikataa kuzeeka?’’ aliandika shabiki mmoja mtandaoni kwa jina la Nelson.“Wewe Nelson unasubiri nizeeke ili ufanikiwe?’’ alijibu Zari.Stori: Happyness Masunga| Champion,

 

SIKU chache baada ya mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, kuanika siri ya maisha yake na baadaye kushambuliwa na mashabiki, ametokwa na povu na kuwajibu wanaomsema vibaya.

 

Zari ambaye makazi yake ni mjini Durban, Afrika Kusini, alipost kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika kuwa, tangu akiwa mdogo alikuwa na mawazo na ndoto kubwa za kufika alipo sasa (akimaanisha umaarufu na utajiri alionao sasa).

“I was once a small town kid with big vision. Dreams are surely valid,’’ aliandika Zari kwenye ukurasa wake wa Instagram.

 

Baada ya kuandika hivyo, baadhi ya mashabiki walianza kumshambulia kwa maneno ambayo Zari hakuyapenda kiasi cha kuwajia juu.“Wewe ulikataa kuzeeka?’’ aliandika shabiki mmoja mtandaoni kwa jina la Nelson.“Wewe Nelson unasubiri nizeeke ili ufanikiwe?’’ alijibu Zari.

Stori: Happyness Masunga| Champion

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *