Yanga yamsajili Staa wa Burundi aliyeifunga Taifa Stars,

October 12, 2020

Staa wa Burundi Said Ntibazonkiza aliyeifunga Taifa Stars jana dakika ya 85 katika mchezo wa kirafiki Burundi dhidi ya Tanzania “‘Taifa Stars” amesajiliwa na Yanga SC inaripotiwa ni mkataba wa miezi 18.

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *