Yanga 2-0 Aigle Noir Uwanja Wa Mkapa Global, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 31, 2020

MECHI ya kirafiki imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi Uwanja wa Taifa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bao limefungwa na Tuisila Kisinda dakika ya 38.Bao la pili la pili limefungwa kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 59,

MECHI ya kirafiki imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi Uwanja wa Taifa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bao limefungwa na Tuisila Kisinda dakika ya 38.

Bao la pili la pili limefungwa kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 59

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *