Yanayoendelea Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CCM

October 14, 2020

Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Vilivyopo Kawe kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Viwanja vimejaa na Vinaendelea Kupendezeshwa na Sera nzuri za CCM zinazonogeshwa pia na Kazi za Sanaa za Wasanii wetu Wakiongozwa na Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine wengi.

#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *