WHO yalegeza masharti ya kujiunga na chanjo ya dunia ya COVAX, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on August 28, 2020 at 6:00 pm

August 29, 2020

Mataifa tajiri ambayo yanajiunga na mpango wa chanjo wa shirika la afya ulimwenguni WHO kupambana na ugonjwa wa COVID-19 yanapatiwa nafasi mpya kuchagua ni aina gani ya chanjo watapata huku wakihifadhi haki ya kupata dozi kamili wanazohitaji.Mabadiliko yanaonekana kulenga kuzishawishi serikali ambazo zimefanya mashauriano yao binafsi ya makubaliano ya kupata chanjo ili kuweza kutia saini kwa ajili ya mpango wa dunia wa chanjo unaojulikana kama COVAX ifikapo Jumatatu ambayo ni siku ya mwisho ya kuwasilisha nia ya uhitaji.Marekani, Japan, Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano yao binafsi kupata mamilioni ya dozi za chanjo kwa watu wao, na kupuuzia tahadhari ya WHO kuwa kuifanya chanjo kuwa ni kitu cha kitaifa kutabana upatikanaji.,

Mataifa tajiri ambayo yanajiunga na mpango wa chanjo wa shirika la afya ulimwenguni WHO kupambana na ugonjwa wa COVID-19 yanapatiwa nafasi mpya kuchagua ni aina gani ya chanjo watapata huku wakihifadhi haki ya kupata dozi kamili wanazohitaji.

Mabadiliko yanaonekana kulenga kuzishawishi serikali ambazo zimefanya mashauriano yao binafsi ya makubaliano ya kupata chanjo ili kuweza kutia saini kwa ajili ya mpango wa dunia wa chanjo unaojulikana kama COVAX ifikapo Jumatatu ambayo ni siku ya mwisho ya kuwasilisha nia ya uhitaji.

Marekani, Japan, Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano yao binafsi kupata mamilioni ya dozi za chanjo kwa watu wao, na kupuuzia tahadhari ya WHO kuwa kuifanya chanjo kuwa ni kitu cha kitaifa kutabana upatikanaji.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *