Wema Sepetu Apagawa na Mchezaji wa YANGA …Ampost Instagram na Kufunguka Bila Aibu, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 1, 2020

Kupitia ukurasa wa Instgram wa staa wa filamu Wema Sepetu amempost na kumpa ujumbe mzito mchezaji mpya wa timu Yanga Carlinhos Carmo10 kwa kumwambia wanachokitaka ni ubingwa tu, kisha ndiyo wataanza kuongea lugha moja.“Tunachotaka sisi mpate ubingwa tena mara saba alafu ndo tuanze kuongea lugha moja, na zitabaki saba hivyo hivyo maana ubingwa ni wetu round hii karibu sana, halafu nasikia harufu ya mechi mechi hivi karibuni au ni mimi tu, nataka tupate mechi moja bwana, au unasemaje Engineer Makini“ Wema Sepetu,

Kupitia ukurasa wa Instgram wa staa wa filamu Wema Sepetu amempost na kumpa ujumbe mzito mchezaji mpya wa timu Yanga Carlinhos Carmo10 kwa kumwambia wanachokitaka ni ubingwa tu, kisha ndiyo wataanza kuongea lugha moja.

“Tunachotaka sisi mpate ubingwa tena mara saba alafu ndo tuanze kuongea lugha moja, na zitabaki saba hivyo hivyo maana ubingwa ni wetu round hii karibu sana, halafu nasikia harufu ya mechi mechi hivi karibuni au ni mimi tu, nataka tupate mechi moja bwana, au unasemaje Engineer Makini“ Wema Sepetu

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *