Waziri wa ulinzi wa Uturuki awasili Kupro ya Kaskazini, on September 14, 2020 at 8:00 am

September 14, 2020

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amewasili Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini  katika ziara yake rasmi.Waziri  huyo wa ulinzi wa Uturuki amekwenda  mjini Nikosia baada ya kumaliza mkutano wake na  meja -jenerali  Yaşar Güler.Hulusi Akar amezungumza pia na Ümit Dündar, amiri jeshi wa kikosi cha jeshi la majini Adnan Özbal na jeshi la ardhini Hsan Küçükakyüz mjini Antalya.Baada ya mazungumzo yake hayo, Hulusi Akar  amejielekeza mjini Nikosia.Waziri wa ulinzi wa Uturuki amehudhuria pia katika mazoezi   ya jeshi la Uturuki na jeshi la  Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini.,

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amewasili Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini  katika ziara yake rasmi.

Waziri  huyo wa ulinzi wa Uturuki amekwenda  mjini Nikosia baada ya kumaliza mkutano wake na  meja -jenerali  Yaşar Güler.

Hulusi Akar amezungumza pia na Ümit Dündar, amiri jeshi wa kikosi cha jeshi la majini Adnan Özbal na jeshi la ardhini Hsan Küçükakyüz mjini Antalya.

Baada ya mazungumzo yake hayo, Hulusi Akar  amejielekeza mjini Nikosia.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki amehudhuria pia katika mazoezi   ya jeshi la Uturuki na jeshi la  Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *