Waziri Mkuu Majaliwa akagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko cha Mafia, Kigamboni jijini Dar es Salaam,

October 5, 2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipokea maelezo ya ujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kutoka kwa Kaimu Meneja – TEMESA, Mkoa wa Pwani, Injinia Rehana Juma, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko hicho, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Kivuko cha Mafia, kinachotegemea kuanza kutoa huduma mwezi ujao baada ya kukamilika kwa majaribio, kati ya Nyamisati, wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kinachotengenezwa na Kampuni ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *