Waziri Mkuu Akibidhiwa Mgogoro wa Nyandoti, on September 20, 2020 at 5:00 pm

September 20, 2020

 Na Timothy Itembe Mara.Waziri mkuu kasim Majaliwa leo katika viwanja vya soko kuu amekabidhiwa mgogoro wa nyandoto uliopo baina ya wananchi na Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ  ili kutatua.Mgombea ubunge jimbo la Tarime mjini,Michael Kembaki kwenye mkutano wa Waziri huyo alilazimika kumchomekea mgogoro uliopo wa Nyandoto baina ya Wakazi wa maeneo hayo na Jeshi la wananchi la kujenga Taifa ili kuushugulikia.Kembaki alisema kuwa naomba kuchomekea katika mkutano wako huu  mgogoro wa Nyandoto uliodumu kwa miaka mingi ili ukaushugulikia.Kwa upande wa Waziri huyo baada ya kuchomekewa mgogoro huo aliomba kuuchukua ili kufikisha maeneo husika ya kuushugulikia.”Niwaombe ndugu zangu kumpatia kura Kembaki na madiwani wake pamoja na Rais John Pombe Magufuli ili kuungana pamoja kuiletea Tarime maendeleo na mgogoro huu nauchukua hausubiri wakati mwingine”alisema Majaliwa.Nawaomba msifanya kosa wachagueni viongozi wanaotokana na  CCM,Kembaki nafasi ya ubunge ili aingiei alete matatizo yenu kama vile kero ya maji,Miundombinu ya barabara Afya na Elimu bungen ili yakashugulikiwe na kutatuliwa.,

 

Na Timothy Itembe Mara.

Waziri mkuu kasim Majaliwa leo katika viwanja vya soko kuu amekabidhiwa mgogoro wa nyandoto uliopo baina ya wananchi na Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ  ili kutatua.

Mgombea ubunge jimbo la Tarime mjini,Michael Kembaki kwenye mkutano wa Waziri huyo alilazimika kumchomekea mgogoro uliopo wa Nyandoto baina ya Wakazi wa maeneo hayo na Jeshi la wananchi la kujenga Taifa ili kuushugulikia.

Kembaki alisema kuwa naomba kuchomekea katika mkutano wako huu  mgogoro wa Nyandoto uliodumu kwa miaka mingi ili ukaushugulikia.

Kwa upande wa Waziri huyo baada ya kuchomekewa mgogoro huo aliomba kuuchukua ili kufikisha maeneo husika ya kuushugulikia.

“Niwaombe ndugu zangu kumpatia kura Kembaki na madiwani wake pamoja na Rais John Pombe Magufuli ili kuungana pamoja kuiletea Tarime maendeleo na mgogoro huu nauchukua hausubiri wakati mwingine”alisema Majaliwa.

Nawaomba msifanya kosa wachagueni viongozi wanaotokana na  CCM,Kembaki nafasi ya ubunge ili aingiei alete matatizo yenu kama vile kero ya maji,Miundombinu ya barabara Afya na Elimu bungen ili yakashugulikiwe na kutatuliwa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *