Waziri Majaliwa amtembelea mama Maria Nyerere, on September 19, 2020 at 10:00 am

September 19, 2020

 Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara,Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani MaraMjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mtoto wa Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere, wakati alipowatembelea, nyumbani kwa Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara, Septemba 19, 2020.,

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara,

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mtoto wa Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere, wakati alipowatembelea, nyumbani kwa Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara, Septemba 19, 2020.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *