Watu Walikuwa Wanatumia Foleni Kudanganya Wake zao, Hadi Watoto Walipata Mimba Kisa Foleni- JPM

October 12, 2020

 

“Watu walikuwa wanatumia foleni kudanganya Wake zao, anasema foleni kali nalala hapahapa na Mke anasema sawa,kumbe Mume yupo na mwingine, hata Wanawake waliwadanganya Wanaume, tumeondoa foleni sasa DSM itakuwa kama Ulaya hata Nchi nyingine za Ulaya tutazizidi”-JPM

“Hadi Watoto walipata mimba kisa foleni, Utafiti wa Bank ya Dunia,DSM tulikuwa tunapoteza Bilion 4 kila siku kisa foleni, nikasema hapana,sasa kuna Barabara za ghorofa, nataka Taifa hili lisihesabike kama Taifa la Uchumi wa Kati ila waione Nchi hii kama Ulaya”-JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *