Watu 93 wamefariki katika mafuriko nchini Sudan, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 1, 2020 at 10:00 am

September 1, 2020

Mvua kali zilizonyesha nchini Sudan katika mikoa tofauti zimepelekea mafuriko ambayo pia yamesababisha maafa.Ni watu 93 ambao wameripotiwa kufariki kutokana na mafuriko hayo.Idadi hiyo imeripotiwa kuongezeka kutokana na hali ya watu ambao walijeshiwa katika mafuriko yaliosababisha miundombinu kubomoka.Wizara ya mambo ya ndani imefahamisha kwamba  idadi ya watu ambao wamepoteza maisha  katika mafuriko hayo  tangu mvua zilizonyesha Agosti  Mosi imefikia watu  93.Watu  43 ndioa mabo wameripotiwa kujeruhiwa , barabara zimeharibika huku pia mifugo ikiripotiwa kuathirika.Mjini Khartoum , majumba mengi yameporomoka kwa maji baada ya mtu Nile  kufurika kwa maji.Kitengo cha utabiri wa hali ya hewa nchini Sudan kimefahamisha kuwa  mvua zitaendelea kunyesha na kuwata  raia kuwa waangalifu.,

Mvua kali zilizonyesha nchini Sudan katika mikoa tofauti zimepelekea mafuriko ambayo pia yamesababisha maafa.

Ni watu 93 ambao wameripotiwa kufariki kutokana na mafuriko hayo.

Idadi hiyo imeripotiwa kuongezeka kutokana na hali ya watu ambao walijeshiwa katika mafuriko yaliosababisha miundombinu kubomoka.

Wizara ya mambo ya ndani imefahamisha kwamba  idadi ya watu ambao wamepoteza maisha  katika mafuriko hayo  tangu mvua zilizonyesha Agosti  Mosi imefikia watu  93.

Watu  43 ndioa mabo wameripotiwa kujeruhiwa , barabara zimeharibika huku pia mifugo ikiripotiwa kuathirika.

Mjini Khartoum , majumba mengi yameporomoka kwa maji baada ya mtu Nile  kufurika kwa maji.

Kitengo cha utabiri wa hali ya hewa nchini Sudan kimefahamisha kuwa  mvua zitaendelea kunyesha na kuwata  raia kuwa waangalifu.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *