Watatu wafariki katika ajali ya ndege Marekani, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on August 31, 2020 at 6:00 pm

August 31, 2020

Watu watatau wameripotiwa kı7fariki katika jali ya ndege ndogo liotokea   katika jimbo la Texas nchini Marekani.Taarifa mabayo imetolewa na vyanzo vya habari karibu na eneo la tukio zimefahamisha kuwa ajali hiyo imetokea katika uawanja wa ndege wa Coulter Field Bryan katika umbali wa kilomita 137 Kaskazini-Magharibi mwa jiji la Houston.Watu watatu ndio ambao wameripotiwa kufariki.Msemaji wa  shirika la ndege Houston , Lynn Lunsford amesema kwamba  ndege hiyo iliofanya ajali ilikuwa na injini moja aina ya Piper PA24.Uchunguzi ili kubaini sababu zilizopelekea ajali hiyo umeanzishwa.Mtu mmoja amejeruhiwa  vikali.,

Watu watatau wameripotiwa kı7fariki katika jali ya ndege ndogo liotokea   katika jimbo la Texas nchini Marekani.

Taarifa mabayo imetolewa na vyanzo vya habari karibu na eneo la tukio zimefahamisha kuwa ajali hiyo imetokea katika uawanja wa ndege wa Coulter Field Bryan katika umbali wa kilomita 137 Kaskazini-Magharibi mwa jiji la Houston.

Watu watatu ndio ambao wameripotiwa kufariki.

Msemaji wa  shirika la ndege Houston , Lynn Lunsford amesema kwamba  ndege hiyo iliofanya ajali ilikuwa na injini moja aina ya Piper PA24.

Uchunguzi ili kubaini sababu zilizopelekea ajali hiyo umeanzishwa.
Mtu mmoja amejeruhiwa  vikali.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *