Wasanii Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau Wamepata Ajali ya Gari

September 7, 2020

Wasanii wa Bongofleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo Chalinze Pwani wakiwa safarini kuelekea Dar es salaam.Lulu Diva ambae ameongea na simu kwa tabu amethibisha taarifa hizo kwa kusema ‘Ni kweli Millard tumepata ajali Chalinze, tulikua tunaendeshwa, mimi nimeumia kichwani nimevimba ila Belle 9 kaumia zaidi jamani amewaishwa Hospitali, @bongelanyau kaumia ila kiasi… mimi niko Polisi kuchukua Pf3 kisha nimfate @belle9tz Hospitali” @luludivatz“Sijui chanzo ni nini maana wakati ajali inatokea nilikua nimelala nikaja kushtukia gari imeacha barabara na kupinduka, Belle 9 anaonekana ameumia mgongo na kichwani” – Lulu Diva.,

Wasanii wa Bongofleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo Chalinze Pwani wakiwa safarini kuelekea Dar es salaam.

Lulu Diva ambae ameongea na simu kwa tabu amethibisha taarifa hizo kwa kusema ‘Ni kweli Millard tumepata ajali Chalinze, tulikua tunaendeshwa, mimi nimeumia kichwani nimevimba ila Belle 9 kaumia zaidi jamani amewaishwa Hospitali, @bongelanyau kaumia ila kiasi… mimi niko Polisi kuchukua Pf3 kisha nimfate @belle9tz Hospitali” @luludivatz

“Sijui chanzo ni nini maana wakati ajali inatokea nilikua nimelala nikaja kushtukia gari imeacha barabara na kupinduka, Belle 9 anaonekana ameumia mgongo na kichwani” – Lulu Diva.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *