Wapenzi wangu wote walikua wanaolewa tukiwa bado tupo wote- Mboso, on September 10, 2020 at 10:00 am

September 10, 2020

 Star wa Muziki Kutoka WCB , Mbosso , ameweka wazi bahati mbaya anayokutana nayo katika mahusiano yake ya kimapenzi , Kutokana na wapenzi wake anaokua nao kumuacha na kuolewa .Mbosso ameyasema hayo alipokua katika mahojiano na Kipindi cha The Switch cha Wasafi Fm .“Mahusiano yangu karibia matatu , waliokua wapenzi wangu wote waliolewa tukiwa bado tupo wote . Mmoja nilikua nampenda sana Lakini alikua anaishi Uingereza . Baadae nikaja kusikia ameolewa, yaani kwa ufupi huwa wanaolewa” Mbosso,

 Star wa Muziki Kutoka WCB , Mbosso , ameweka wazi bahati mbaya anayokutana nayo katika mahusiano yake ya kimapenzi , Kutokana na wapenzi wake anaokua nao kumuacha na kuolewa .

Mbosso ameyasema hayo alipokua katika mahojiano na Kipindi cha The Switch cha Wasafi Fm .

“Mahusiano yangu karibia matatu , waliokua wapenzi wangu wote waliolewa tukiwa bado tupo wote . Mmoja nilikua nampenda sana Lakini alikua anaishi Uingereza . Baadae nikaja kusikia ameolewa, yaani kwa ufupi huwa wanaolewa” Mbosso

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *