Wamiliki wa pool table watakiwa kuyasajili wapate leseni, on September 18, 2020 at 6:00 am

September 18, 2020

 Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa ‘pool tables’ kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. Imeeleza taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya Bodi hiyo.GBT yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa Kifungu Namba 52 cha Sheria ya Michezo ya Kubahatisha ya mwaka 2003 ‘pool table’ zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume sha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.,

 Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa ‘pool tables’ kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. Imeeleza taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya Bodi hiyo.

GBT yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa Kifungu Namba 52 cha Sheria ya Michezo ya Kubahatisha ya mwaka 2003 ‘pool table’ zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.

Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume sha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *