Waliomuua Dr. Sengondo Mvungi wahukumiwa kunyongwa hadi kufa, on September 18, 2020 at 10:38 am

September 18, 2020

 Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwanasheria maarufu nchini na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Sengondo Mvungi.Hukumu hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam ambapo pia mahakama imemwachia huru mshitakiwa mmoja.Marehemu Dkt. Mvungi alivamiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Novemba 3, 2013 na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake jambo lililosababisha kifo chake akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini.,

 


Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwanasheria maarufu nchini na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Sengondo Mvungi.

Hukumu hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam ambapo pia mahakama imemwachia huru mshitakiwa mmoja.

Marehemu Dkt. Mvungi alivamiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Novemba 3, 2013 na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake jambo lililosababisha kifo chake akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *