Wakazi ‘Kuwa Mbunifu ni Sawa na KUWA Mhalifu Kwa Tanzania, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 1, 2020

Webiro Wassira maarufu Wakazi ambaye ni Msanii na Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa tiketi ya ACT-Wazalendo amesema Serikali ya Tanzania haipo katika kukuza ubunifu kutokana na Sheria ya Maudhui iliyopitishwaAmesema kumtaka msanii ambaye amefanya ubunifu kuwa na Tsh. Laki tano ili kuiweka kazi yake YouTube itafanya wabunifu wadogo kushindwa au kuonekana wahalifu kwa kukiuka sheriaWakazi ametambua umuhimu wa uwepo wa Sera ya Sanaa na Wasanii ili kuwaweka wasanii katika mazingira mazuri na kukuza ubunifuWebiro Wassira (Wakazi), ameyasema haya leo wakati wa uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha ACT-Wazalendo,

Webiro Wassira maarufu Wakazi ambaye ni Msanii na Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa tiketi ya ACT-Wazalendo amesema Serikali ya Tanzania haipo katika kukuza ubunifu kutokana na Sheria ya Maudhui iliyopitishwa

Amesema kumtaka msanii ambaye amefanya ubunifu kuwa na Tsh. Laki tano ili kuiweka kazi yake YouTube itafanya wabunifu wadogo kushindwa au kuonekana wahalifu kwa kukiuka sheria

Wakazi ametambua umuhimu wa uwepo wa Sera ya Sanaa na Wasanii ili kuwaweka wasanii katika mazingira mazuri na kukuza ubunifu

Webiro Wassira (Wakazi), ameyasema haya leo wakati wa uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha ACT-Wazalendo,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *