’Wahu Awashauri Wanawake ‘Huwezi Kuwa Unaomba Mpenzi Wako Pesa Kwa Kila Jambo’, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 4, 2020

Msanii Wahu Kagwi kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya instagram aliwashauri wanawake kuwa hawawezi wa wanawategemea waume zao kila wakati au kwa jambo lolote.Aliwapa ushauri wanawake wote ambao wamo katika mahusiano au ambao wameolewa. View this post on Instagram usiwe yule mama wa kuoba oba msee pesa. eda pale @dadabystanbicbank …… pata ujusi.. A post shared by Wahu (@wahukagwi) on Sep 2, 2020 at 11:38pm PDT “Dada zanguni tuko pamoja? sasa wacha tuzungumzie pesa hauwezi kuwa unaitisha pesa za kuweka kredit ya simu kila siku kwa mpenzi wako ,Na pia pesa za fuma na vitu vingine lazima huwe na pesa zako lazima huwe na akaunti yako ya benki yenye pesa, unapaswa kuwa na maarifa kuhusu uwekezaji wa pesa zako hupaswi kuwa unaomba.” Alisema Wahu. Ni ushauri ambao ulipokelewa vyema na mashabiki wake wengi na hata kumuunga mkono ilhali wengi walipinga ushauri wake huku wakisema wanawake wanapaswa kusaidiwa na waume zao,

Msanii Wahu Kagwi kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya instagram aliwashauri wanawake kuwa hawawezi wa wanawategemea waume zao kila wakati au kwa jambo lolote.

Aliwapa ushauri wanawake wote ambao wamo katika mahusiano au ambao wameolewa.

“Dada zanguni tuko pamoja? sasa wacha tuzungumzie pesa hauwezi kuwa unaitisha pesa za kuweka kredit ya simu kila siku kwa mpenzi wako ,Na pia pesa za fuma na vitu vingine lazima huwe na pesa zako lazima huwe na akaunti yako ya benki yenye pesa, unapaswa kuwa na maarifa kuhusu uwekezaji wa pesa zako hupaswi kuwa unaomba.” Alisema Wahu.

 Ni ushauri ambao ulipokelewa vyema na mashabiki wake wengi na hata kumuunga mkono ilhali wengi walipinga ushauri wake huku wakisema wanawake wanapaswa kusaidiwa na waume zao,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *