Waandishi wa habari Mkoani Mtwara washauriwa kuandika habari za kuibua matatizo ya kijamii, on September 17, 2020 at 10:00 am

September 17, 2020

 Na Faruku Ngonyani, Mtwara.Waandishi wa habari wachanga (YOUNG REPOTERS) Mkaoni Mtwara wameshauriwa kuandika habari za kuibua matatizo ya kijamii ili waweze kuleta tija kwenye tasnia hiyo.Hayo yameseomwa na Afisa tawala wa Wilaya ya Mtwara Saidi Yasini alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari wachanga (YOUNG REPORTERS) katika ukumbi wa TCCIA ambapo waandishi hao wapo katika mafunzo ya siku tano ya kujifunza namna ya kuandika uandisha wa habari unaihusu masuala ya DATA.Yasini amewasihii waandishi hao wachanga kutofanya makossa katika uandishi wao na kuzingatia weledi juu ya mafunzo yanatolewa ukumbini hapo.Mafunzo hayo ya kuongeza uelewa kwa waandishi wchanga (YOUNG REPORTES) juu ya DATA yanendeshwa na Shirirka lisilo la kiserikali la dlab  kwa hisani kubwa ya Shirika la kimataifa la we world kutoka uingereza.Nae katibu wa Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) Brayson Mshana amesema kuwa Mafunzo hayo kwa Mkoa wa Mtwara imewahusisha waandishi wachanga ishirini (20) kutoka vyombo mbalimbali vilivyopo Mkoani Mtwara.,

 Na Faruku Ngonyani, Mtwara.

Waandishi wa habari wachanga (YOUNG REPOTERS) Mkaoni Mtwara wameshauriwa kuandika habari za kuibua matatizo ya kijamii ili waweze kuleta tija kwenye tasnia hiyo.

Hayo yameseomwa na Afisa tawala wa Wilaya ya Mtwara Saidi Yasini alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari wachanga (YOUNG REPORTERS) katika ukumbi wa TCCIA ambapo waandishi hao wapo katika mafunzo ya siku tano ya kujifunza namna ya kuandika uandisha wa habari unaihusu masuala ya DATA.

Yasini amewasihii waandishi hao wachanga kutofanya makossa katika uandishi wao na kuzingatia weledi juu ya mafunzo yanatolewa ukumbini hapo.

Mafunzo hayo ya kuongeza uelewa kwa waandishi wchanga (YOUNG REPORTES) juu ya DATA yanendeshwa na Shirirka lisilo la kiserikali la dlab  kwa hisani kubwa ya Shirika la kimataifa la we world kutoka uingereza.

Nae katibu wa Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) Brayson Mshana amesema kuwa Mafunzo hayo kwa Mkoa wa Mtwara imewahusisha waandishi wachanga ishirini (20) kutoka vyombo mbalimbali vilivyopo Mkoani Mtwara.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *