Waandamanaji 633 wakamatwa Belarus, on September 7, 2020 at 1:00 pm

September 7, 2020

Polisi nchini Belarus wamewakamata watu 633 katika maandamano yaliyofanyika nchi nzima jana Jumapili. Taarifa hiyo imetolewa na wizara ya mambo ya ndani. Maafisa walianzisha hatua ya kuwaandama waandamanaji wanaoandamana kumpinga rais Alexender Lukashenko yaliyozuka baada ya uchaguzi wa Agosti 9 unaotajwa na wapinzani wake kwamba uligubikwa na udanganyifu.Wakati huohuo imeelezwa kwamba kiongozi huyo wa Belarus atakwenda nchini Urusi siku chache zijazo kwa ajili ya mazungumzo na serikali mjini Moscow. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu ya Urusi leo.,

Polisi nchini Belarus wamewakamata watu 633 katika maandamano yaliyofanyika nchi nzima jana Jumapili. Taarifa hiyo imetolewa na wizara ya mambo ya ndani.

 Maafisa walianzisha hatua ya kuwaandama waandamanaji wanaoandamana kumpinga rais Alexender Lukashenko yaliyozuka baada ya uchaguzi wa Agosti 9 unaotajwa na wapinzani wake kwamba uligubikwa na udanganyifu.

Wakati huohuo imeelezwa kwamba kiongozi huyo wa Belarus atakwenda nchini Urusi siku chache zijazo kwa ajili ya mazungumzo na serikali mjini Moscow. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu ya Urusi leo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *