Waandamanaji 256 wa vizibao vya njano wakamatwa Ufaransa, on September 13, 2020 at 1:00 pm

September 13, 2020

Waandamanai wa vizibao vya njano  256 wameripotiwa kukamatwa katika maandamano yaliofanyika Jumamosi mjini Paris nchini Ufaransa.Baada ya kusitishwa kwa muda  ambao unakaribia  miezi minne  kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, maandamano ya waandamanji wa viziba vya njano, kwa mara nyingine  waandamanjai hao wamemiminika   mabarabarani  na kuanza upya maandamano.Maandamano hayo yamesababisha  matatizo ya kisiasa na matatizo  katika jamii.Maelfu ya waandamanaji  wamekutana  katika jukwaa la Wagram mjini Paris   huku wakiwa na mabango na yalioandikwa kauli tofauti dhidi ya rais Emmanuel Macron na serikali yake.Kulitokea ghasia  kati ya Polisi na waandamanaji , jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya kusabbaisha kutokwa na machozi .Polisi ilitumia mabomu hayo kuwaasambaratisha waandamanaji na kuwakamata baadhi yao.Vituo vya metro  zaidi ya  30  vilifungwa mjini Paris.Waandamanaji walikutana pia  mjini Strasbourg, Lyon, Bordeau na Toulouse. ,

Waandamanai wa vizibao vya njano  256 wameripotiwa kukamatwa katika maandamano yaliofanyika Jumamosi mjini Paris nchini Ufaransa.

Baada ya kusitishwa kwa muda  ambao unakaribia  miezi minne  kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, maandamano ya waandamanji wa viziba vya njano, kwa mara nyingine  waandamanjai hao wamemiminika   mabarabarani  na kuanza upya maandamano.

Maandamano hayo yamesababisha  matatizo ya kisiasa na matatizo  katika jamii.

Maelfu ya waandamanaji  wamekutana  katika jukwaa la Wagram mjini Paris   huku wakiwa na mabango na yalioandikwa kauli tofauti dhidi ya rais Emmanuel Macron na serikali yake.

Kulitokea ghasia  kati ya Polisi na waandamanaji , jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya kusabbaisha kutokwa na machozi .

Polisi ilitumia mabomu hayo kuwaasambaratisha waandamanaji na kuwakamata baadhi yao.

Vituo vya metro  zaidi ya  30  vilifungwa mjini Paris.

Waandamanaji walikutana pia  mjini Strasbourg, Lyon, Bordeau na Toulouse.

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *