Virusi vya corona: Unyanyasaji wa kingono na wa kinyumbani Kenya

September 6, 2020

Mwezi Julai Rais Uhuru Kenyatta aliagiza hatua ichukuliwa juu ya kuongezeka kwa matukio ya ghasia za kingono na kinyumbani wakati wa amri ya kukaa nyumbani ya kudhibiti maambukizi ya Covid-19. Serikali ya kaunti ya Makueni mashariki mwa Kenya ni ya kwanza kufungua nyumba rasmi salama kwa ajili ya kuapokea wanaokabiliwa na mzozo huo.

Source link

,Mwezi Julai Rais Uhuru Kenyatta aliagiza hatua ichukuliwa juu ya kuongezeka kwa matukio ya ghasia za kingono na kinyumbani wakati…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *