Virusi vya corona Magharibi bado ni gumzo, on September 12, 2020 at 6:00 pm

September 12, 2020

Idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona  ulimwenguni  imefikia watu  914 817.Watu walioambukiwa virusi hivyo imefikia watu   milioni 28,3 huku idadi ya watu ambao wamekwishapona maambukizi ya virusi hivyo imefikia watu   milioni 20.3.Nchini Marekani,  ndani ya masaa 24 ni watu  1086 wamefariki kutokana  na maambukizi ya virusi vya corona na kupelekea idadi ya watu  ambao wamefariki kutokana na virusi hivyo imefikia watu  196 345.Idadi ya watu ambao wamekwisha ambakiwa imefikia watu   milioni 6,5.Nchini Brazil, watu   922 wamefariki  na kupelekea idadi ya vifo kutokana na covid-19 kufikia watu   12p 575.Nchini Mexico, watu ambao wamekwishafariki kutokana  na maambukizi ya virusi hivyo imefikia watu  69649.,

Idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona  ulimwenguni  imefikia watu  914 817.

Watu walioambukiwa virusi hivyo imefikia watu   milioni 28,3 huku idadi ya watu ambao wamekwishapona maambukizi ya virusi hivyo imefikia watu   milioni 20.3.

Nchini Marekani,  ndani ya masaa 24 ni watu  1086 wamefariki kutokana  na maambukizi ya virusi vya corona na kupelekea idadi ya watu  ambao wamefariki kutokana na virusi hivyo imefikia watu  196 345.

Idadi ya watu ambao wamekwisha ambakiwa imefikia watu   milioni 6,5.

Nchini Brazil, watu   922 wamefariki  na kupelekea idadi ya vifo kutokana na covid-19 kufikia watu   12p 575.

Nchini Mexico, watu ambao wamekwishafariki kutokana  na maambukizi ya virusi hivyo imefikia watu  69649.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *