Virusi vya corona: Catherine Wanjoya alivyobuni mashine ya kuteketeza barakoa zilizotumika

September 6, 2020

Huwezi kusikiliza tena

Dakika 2 zilizopita

Katika kipindi hiki cha janga la Covid-19,usalama wa watu ni jambo la kipaumbele.

Vifaa vya PPE vinalenga kusaidia changamoto hii ya kiafya.

Lakini kwa upande mwingine, husababisha uchafuzi wa mazingira kwa kiasi kikubwa. Na kutokana na hali hiyo basi ndipo ubunifu wa Catherine Wanjoya unapoingia.

Amebuni mashine maalumu ya kuteketeza vifaa vya kujikinga, PPE.

Mashine hizi ni muhimu sana kwenye vituo vya afya. kifaa hiki ni rahisi kukibeba na ni mahsusi kwa vituo vidogo vya afya.

Picha na Anne Okumu/ Judith Wambare.

Source link

,Huwezi kusikiliza tena Virusi vya corona: Catherine Wanjoya alivyobuni mashine ya kuteketeza barakoa zilizotumika Dakika 2 zilizopita Katika kipindi hiki…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *