Vikosi vya watu 400 vyatua mlima Kilimanjaro kupambana na moto,

October 13, 2020

Vikosi vya watu mia nne vimefika katika eneo la Wona lililopo eneo la mlima kilimanjaro kwa ajili yakukabiliana na janga la moto lililotokea eneo hilo ambapo hadi hivi sasa chanzo bado hakijajulikana

Kamishna msaidizi mwandamizi mawasiliano kutoka Mamlaka ya hifadhi za taifa (TANAPA) Paschal Shelutete amesema wakati jitihada za kuuzima moto huo zikiendelea shughuli za utalii kwenye mlima hazijasitishwa

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *