Vikosi vya Israel vyaendelea kuwatia ndani Wapalestina, on September 8, 2020 at 3:00 pm

September 8, 2020

Vikosi vya Israeli vimewafunga Wapalestina 46, wakiwemo wanawake wawili, katika Ukingo wa Magharibi uliokaliwa kimabavu.Katika taarifa iliyotolewa na Chama cha Wafungwa cha Palestina, imeelezwa kuwa vikosi vya Israeli vilivamia maeneo kadhaa ya Ukingo wa Magharibi, haswa mji wa El-Halil, majira ya usiku.Kulingana na taarifa hiyo, vikos vya jeshi la Israel kilivamia maeneo hayo majira ya usiku na kuanza kuwakamata baadhi ya Wapalestina kwa shutuma mbalimbali.Wengi wa wafungwa wanaochukuliwa na vikosi hivyo huwa ni wanawake na watoto.Vyanzo vya ndani vimesema kuwa kati ya waliofungwa wengi ni wafungwa wa zamani na wengine wana ukaribu na Hamas.,

Vikosi vya Israeli vimewafunga Wapalestina 46, wakiwemo wanawake wawili, katika Ukingo wa Magharibi uliokaliwa kimabavu.

Katika taarifa iliyotolewa na Chama cha Wafungwa cha Palestina, imeelezwa kuwa vikosi vya Israeli vilivamia maeneo kadhaa ya Ukingo wa Magharibi, haswa mji wa El-Halil, majira ya usiku.

Kulingana na taarifa hiyo, vikos vya jeshi la Israel kilivamia maeneo hayo majira ya usiku na kuanza kuwakamata baadhi ya Wapalestina kwa shutuma mbalimbali.

Wengi wa wafungwa wanaochukuliwa na vikosi hivyo huwa ni wanawake na watoto.

Vyanzo vya ndani vimesema kuwa kati ya waliofungwa wengi ni wafungwa wa zamani na wengine wana ukaribu na Hamas.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *