Vijana CCM watakiwa kuacha kuwasikiliza wanasiasa wenye lengo la kuwagawa, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 31, 2020 at 1:00 pm

August 31, 2020

Na ThabitMadai,ZanzibarMWENYEKITI wa Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmoud  amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM ndani ya mkoa huo kuachatabia ya kuwasikiliza wanasiasa wenye lengo la kuwagawa kwa maslahiyao binafsi.Mwenyekiti huyo ambae ni mkuu wa mkoa wa kusini Unguja wanasiasa huwa wanalengo la kuwagawa vijana kwa maslah yao binafsi pamoja na kuleta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini.Wito huo ameutuo wakati akizindua klabu ya ushindi ya chama cha Mapiduzi CCM inayojulikana kwa jina la Dk Hussein Mwinyi klabu katika ukumbi w kibeshi uliopo Unguja Ukuu mkoni humo.Ayoub alisema kwamba  endapo vijana watajiepusha na kutumia kuleta chokochoko ambazo zina lengo la wagombansha na viongozi wao itsaidia kukuza umoja wao na kuarisha uzaledo walionao.Alisema vijana kia jambo ambalo wanalifnya wanatakiwa kuzingatia uzalendo wa taifa pamoja na maslah mapaa ya taifa na s kujiangalia wao binafsi.Aidha Ayoub amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM kuhakikisha chama cha Mapinduzi CCM kinapata ushindi wa kisihindo uchaguzi Mkuu w nafas zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Zanzibar na Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Alisema Chama cha Mapinduzi kimefikia mafanikio makubwa ya kuweka umoja na mshikamano bila ya kuwabaguwa watu kutokana na dini wala ukabila.”Ni jukumu lenu kuhaikisha CCM inapata ushindi kutokana na maendeleo makubwa waliyoyafanya hapa nchin bila ya kuzingatia udini wal ukabila” alisema RC Ayoub.Aliongeza kwa kuwaahidi vijana ndani ya Mkoa huo kuwa Chama cha Mapinduzi CCM kitashida katika uchaguzi mkuu kwa ngaz zte ndai ya Mkoa huo.Hata hivyo RC Ayoub alisema kwa upande wa Serikali itahakikisha vijan ndani ya Mkoa huo unawawezesha kutokana na fursa zilizomo katika mkoa huo na kuwataka kuzitumia fursa mbalimbali zilizomo mkoa huo ili kujinua kiuchu,i.”Serikali ndani ya Mkoa wa Mjini Unguja itahkikisha vijna wanawezeshwa kutokana na fursa zilizomo hivyo wahakikishe wanatumia hzo fursa ili kujinua kiuchumi na kuacha utegemezi katika jamiii” alisema RC Ayoub.Kwa upande wakekaimu Mwenyekti wa Jumuya ya umoja wa vijana CCM Mkoa wa kusini Unguja  Said Hassan Shaabani alisema klabu hiyo imeanzishwa kwa lengo la kutafuta kura za wagombea wote wa CCM Mkoa humo.Awali akisoma taarifa ya uzinduzi wa klabu hiyo, Aboud Said Mpate amekishauri chama cha Mapinduzi CCM kuwaunga mkono katika kuhaikisha chama cha mapinduzi CCM Kinapata ushindi wa kishindo.Katika uzinduzi wa Klabu hiyo  jumla ya vijana 60 wamekabidhiwa kadi za jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi,

Na ThabitMadai,Zanzibar

MWENYEKITI wa Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmoud  amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM ndani ya mkoa huo kuachatabia ya kuwasikiliza wanasiasa wenye lengo la kuwagawa kwa maslahiyao binafsi.

Mwenyekiti huyo ambae ni mkuu wa mkoa wa kusini Unguja wanasiasa huwa wanalengo la kuwagawa vijana kwa maslah yao binafsi pamoja na kuleta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini.

Wito huo ameutuo wakati akizindua klabu ya ushindi ya chama cha Mapiduzi CCM inayojulikana kwa jina la Dk Hussein Mwinyi klabu katika ukumbi w kibeshi uliopo Unguja Ukuu mkoni humo.

Ayoub alisema kwamba  endapo vijana watajiepusha na kutumia kuleta chokochoko ambazo zina lengo la wagombansha na viongozi wao itsaidia kukuza umoja wao na kuarisha uzaledo walionao.

Alisema vijana kia jambo ambalo wanalifnya wanatakiwa kuzingatia uzalendo wa taifa pamoja na maslah mapaa ya taifa na s kujiangalia wao binafsi.

Aidha Ayoub amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM kuhakikisha chama cha Mapinduzi CCM kinapata ushindi wa kisihindo uchaguzi Mkuu w nafas zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Zanzibar na Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Alisema Chama cha Mapinduzi kimefikia mafanikio makubwa ya kuweka umoja na mshikamano bila ya kuwabaguwa watu kutokana na dini wala ukabila.

“Ni jukumu lenu kuhaikisha CCM inapata ushindi kutokana na maendeleo makubwa waliyoyafanya hapa nchin bila ya kuzingatia udini wal ukabila” alisema RC Ayoub.

Aliongeza kwa kuwaahidi vijana ndani ya Mkoa huo kuwa Chama cha Mapinduzi CCM kitashida katika uchaguzi mkuu kwa ngaz zte ndai ya Mkoa huo.

Hata hivyo RC Ayoub alisema kwa upande wa Serikali itahakikisha vijan ndani ya Mkoa huo unawawezesha kutokana na fursa zilizomo katika mkoa huo na kuwataka kuzitumia fursa mbalimbali zilizomo mkoa huo ili kujinua kiuchu,i.

“Serikali ndani ya Mkoa wa Mjini Unguja itahkikisha vijna wanawezeshwa kutokana na fursa zilizomo hivyo wahakikishe wanatumia hzo fursa ili kujinua kiuchumi na kuacha utegemezi katika jamiii” alisema RC Ayoub.

Kwa upande wakekaimu Mwenyekti wa Jumuya ya umoja wa vijana CCM Mkoa wa kusini Unguja  Said Hassan Shaabani alisema klabu hiyo imeanzishwa kwa lengo la kutafuta kura za wagombea wote wa CCM Mkoa humo.

Awali akisoma taarifa ya uzinduzi wa klabu hiyo, Aboud Said Mpate amekishauri chama cha Mapinduzi CCM kuwaunga mkono katika kuhaikisha chama cha mapinduzi CCM Kinapata ushindi wa kishindo.

Katika uzinduzi wa Klabu hiyo  jumla ya vijana 60 wamekabidhiwa kadi za jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *