VIDEO: Wawekezaji wa Mr Kuku zaidi ya 4500 wamlilia Rais Magufuli kujua hatma yao, on September 20, 2020 at 3:34 pm

September 20, 2020

Wawekezaji zaidi ya 4500 wa maeneo mbalimbali nchini waliowekeza kenye Kampuni ya Mr Kuku Farmers Ltd ambayo inamiliki mradi wa ufugaji kuku wa kisasa Kigamboni jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati ili kujua hatma ya kupata haki baada ya serikali kumfikisha mahakamani, mkurugenzi wa kampuni hiyo, Tariq Machibya mwenye miaka (29) kwa tuhuma za uhujumu uchumi.TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBACRIBE,

Wawekezaji zaidi ya 4500 wa maeneo mbalimbali nchini waliowekeza kenye Kampuni ya Mr Kuku Farmers Ltd ambayo inamiliki mradi wa ufugaji kuku wa kisasa Kigamboni jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati ili kujua hatma ya kupata haki baada ya serikali kumfikisha mahakamani, mkurugenzi wa kampuni hiyo, Tariq Machibya mwenye miaka (29) kwa tuhuma za uhujumu uchumi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBACRIBE

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *