VIDEO: Vijana msikubali kuingia barabarani, amani ikitoweka hatuna kwa kukimbilia-Bi Sururu,

October 18, 2020


Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation, Bi Aisha Sururu amewataka Vijana nchini kutokubali kushawishika kuvuruga amani katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.
 

Bi. Sururu ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati wa mashinda ya Qur an yaliyohusisha kina mama wa mkoa wa Dar es salaam yaliyoandaliwa na taasisi yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE  

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *