VIDEO: Utata waibuka kaburini, wananchi wazua balaa wataka Polisi kumzika marehemu aliyefariki mikononi mwao,

October 7, 2020

Jeshi la Polisi mkoani Njombe limejikuta katika wakati mgumu mara baada ya wakazi wa kata ya Mji Mwema halmashauri ya mji wa Njombe,wakitaka jeshi hilo kumzika Marehemu Kelvin Fute (34) katika makaburi ya Hagafilo wakituhumu Polisi kuhusika na kifo cha kijana huyo aliyekuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kuuza msitu wa miti usio kuwa mali yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *