VIDEO: Polisi wasitisha wito wa Tundu Lissu Dar, wamtaka aende Moshi,

October 2, 2020

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limesitisha wito wa kumtaka mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi na kumtaka mgombea huyo kuendelea na ratiba yake ya kampeni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *