VIDEO: Polisi walivyogoma kuchukua rushwa ya milioni 30 baada ya kukamata mzigo wa magendo,

October 4, 2020


Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vimekamata mzigo wa magendo robota 297 za vitenge aina mbalimbali vilivyokuwa vinasafirishwa kwanjia ya JAHAZI kwenye bahari ya Hindi kinyume na utaratibu.

Gari za watuhumiwa zilizotumika kupokea mizigo hiyo niT.523 AVQ na T.927 BKL zote ainaya FUSSO. 

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *