VIDEO: NEC yawatoa hofu watu wenye ulemavu kuelekea uchaguzi mkuu,

October 6, 2020

Watu wenye ulemavu wa viungo mbalimbali hapa nchini ni kundi ambalo limekuwa likipata changamoto kubwa sana katika siku ya kupiga kura hali ambayo ilikuwa ikipelekea watu hao kushindwa kupiga kura na kuwachagua viongozi wanaowataka.

Akizungumza na wadau wa uchaguzi mkoani Kagera mkurugenzi wa uchaguzi na mipango Adam Muhina amesema kuwa tayari tume imefanikiwa kuweka mazingira wezeshi kwa watu wenye ulemavu na makundi maalumu siku ya kupiga kura kupewa kipaumbele na kwa walemavu wa macho na viungo kutakuwepo na vifaa vya kuwawezesha kupiga kura ikiwemo karatasi za nukta NUNDU kwa wasiona na wasio sikia watakuwepo wakarimani au wataweza kuja na mtu anayeweza kumsaidia kupiga kura.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…….USISAHAU KUSUBSCRIBE

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *