VIDEO: NEC haipo juu ya sheria- Jaji Mstaafu Kaijage,

October 6, 2020

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania Jaji Mstaafu Themistokresi Kaijage amesema kuwa tume ya uchaguzi na mamlaka nyingine zote zinazo husika na kuratibu maswala yote ya uchaguzi haziko juu ya sheria na zinafanya kazi chini ya sheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwamba hakuna sababu ya mtu yeyote kukiuka maadili ya tume ya uchaguzi kwa kigezo cha kutokuwa na imani na mgombea au msimamizi wa uchaguzi au tume yenyewe kwakuwa ana haki ya kwenda kwenye mamlaka zilizopewa dhamana kudai haki yake kwa mujibu wa sheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *