VIDEO: Mkuu wa shule iliyoungua na kuua watoto 10 Kagera afunguka,

October 1, 2020

Mkuu wa shule ya Msingi Byamungu iliyoko Kyerwa mkoani Kagera amesema kuwa wamelazimika kuondoa adhabu ya viboko shuleni hapo baada ya shule hiyo kupata ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watoto kumi papo hapo na majeruhi 6 siku chache zilizopita na kusema kuwa wameamua kufanya hivyo ili kuwasahaulisha watoto waliorejea shuleni kwa ajili ya kuendele na masomo kusahau kilichotokea ususani watoto wa kiume.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *