VIDEO: Mgombea Ubunge ajitoa kwenye kinyang’anyilo cha Uchaguzi, mwenyekiti wake ajiuzulu, on September 18, 2020 at 8:35 am

September 18, 2020

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-MAGEUZI bwana Mkinga Ugin Gidion,amejitoa kwenye nafasi ya kugombea ubunge wa jimbo hilo,kwa madai ya kukosekana taswira ya kuchukua Dola ndani ya vyama vya upinzani.Huku mwenyekiti wa jimbo hilo Joseph Kibena akitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti.TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE ,


Mgombea wa Ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-MAGEUZI bwana Mkinga Ugin Gidion,amejitoa kwenye nafasi ya kugombea ubunge wa jimbo hilo,kwa madai ya kukosekana taswira ya kuchukua Dola ndani ya vyama vya upinzani.Huku mwenyekiti wa jimbo hilo Joseph Kibena akitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *