VIDEO: JPM kumpokea Rais wa Malawi kesho,

October 6, 2020

Rais wa Jamhuri ya Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera anatarajia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu hapa nchinikuanzia Oktoba 7 hadi 9 kwa mwaliko wa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *