VIDEO: Chama cha Demokrasia Makini wamjia juu Mbowe ”atuombe radhi”

October 5, 2020

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo alisema vyama vya siasa 12 vinafadhiliwa ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi CCM na kutafuta maslahi kupitia jukwaa la siasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *