Usajili Mpya..Mtangazaji Frida Amani Aikacha East Africa Radio na Kuhamia Clouds FM

October 6, 2020

 

Kwasasa imekuwa kawaida sana kuona watangazaji kutoka kituo kimoja kwenda kingine kutokana na uwezo pamoja na ubora wa kazi zao.

Msanii Na Mtangazaji @fridaamaniofficial aliyekuwa Akifanya Kazi East Africa Radio kwenye kipindi Cha jioni Cha ‘The Cruuz’ amehamia Clouds Media

Siku ya leo kupitia ukurasa wa Instagram wa @cloudsfmtz wamepost video ya @fridaamaniofficial na kuandika ujumbe wa kumkaribisha ambapo waliandika na kusema kwamba

“Nguvu yake tunaijua, vita yake sio ya kitoto Champion kwenye mziki akisimama kama rapper, hodari nyuma ya MIC kama mtangazaji mwenye swaggz, infos na vibe ya kutosha! Ana ari na utayari kwa pambano kuiwakilisha CLOUDS! She is Ready! What about You!?

@FridaAmaniOfficial karibu kwenye familia kubwa CLOUDS MEDIA”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *