US Open: Dominic Thiem kutoka Australia aibuka bingwa

September 14, 2020

MuAstraliaDominic Thiem ameshinda taji la tenisi la wanaume la US Open kwa kumshinda Alexander Zverev katika mchuano uliojumuisha seti 5 uliochapwa ukumbini Flushing Meadows huko New York. Mechi hiyo ilichezwa bila mashabiki kwa sababu ya janga la corona, na ndipo Thiem alipojipatia Grand Slam yake ya kwanza.

Source link

,MuAstraliaDominic Thiem ameshinda taji la tenisi la wanaume la US Open kwa kumshinda Alexander Zverev katika mchuano uliojumuisha seti 5…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *