Uongozi wa Yanga walaani tukio la mashabiki wake kumshambulia shabiki wa Simba, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 1, 2020

Kufuatia kuenea kwa video inayoonesha washabiki wa klabu ya Yanga wakimpiga Mshabiki wa klabu ya Simba katika moja ya mechi zilizofanyika kwenye uwanja wa Mkapa , Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Kaimu katibu Mkuu wake Wakili Saimon Ptrick imelaani vikali kitendo hicho kilichofanywa na washabiki wa klabu hiyo.,

Kufuatia kuenea kwa video inayoonesha washabiki wa klabu ya Yanga wakimpiga Mshabiki wa klabu ya Simba katika moja ya mechi zilizofanyika kwenye uwanja wa Mkapa , Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Kaimu katibu Mkuu wake Wakili Saimon Ptrick imelaani vikali kitendo hicho kilichofanywa na washabiki wa klabu hiyo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *