UN kuweka kambi mpya Sudan Kusini, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 3, 2020 at 8:00 am

September 3, 2020

David Shearer anasema uwepo wa UN utatoa ulinzi katika eneo hiloImage caption: David Shearer anasema uwepo wa UN utatoa ulinzi katika eneo hiloUjumbe wa UN nchini Sudan Kusini imesema utaweka kambi mpya ya walinda amani katika eneo la Lobonok baada ya walinzi sita wa makamu wa rais Wani Igga kuuawa mwezi uliopita.Ujumbe huo ulitaja mashambulio mengine dhidi ya raia na misafara ya kibinadamu katika eneo hilo kama sababu ya kuanzisha kambi hiyo mpya.Mkuu wa ujunbe huo , David Shearer, amesema kambi hiyo mpya itasaidia kutoa ulinzi katika eneo hilo.Kumeshuhudiwa mashambulio kadhaa dhidi ya wafanyakazi wa kutoa misaaada katika siku chache zilizopita ,kwa mijibu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo hilo.Waasi wa kundi la National Salvation Front (Nas) ambalo linaongozwa na jenerali wa zamani wa jeshi Thomas Cirillo Swaka, limekiri kuhusika na shambulio la mwezi uliopita dhidi ya msafara wa makamu wa rais.Kundi hilo halikuwa sehemu ya mkataba amani uliotiwa saini kati ya serikali na makundi ya upinzani yaliyojihami mwaka 2018 kukomesha papigano yaliyodumu kwa miaka kadhaa,

David Shearer anasema uwepo wa UN utatoa ulinzi katika eneo hiloImage caption: David Shearer anasema uwepo wa UN utatoa ulinzi katika eneo hilo

Ujumbe wa UN nchini Sudan Kusini imesema utaweka kambi mpya ya walinda amani katika eneo la Lobonok baada ya walinzi sita wa makamu wa rais Wani Igga kuuawa mwezi uliopita.

Ujumbe huo ulitaja mashambulio mengine dhidi ya raia na misafara ya kibinadamu katika eneo hilo kama sababu ya kuanzisha kambi hiyo mpya.

Mkuu wa ujunbe huo , David Shearer, amesema kambi hiyo mpya itasaidia kutoa ulinzi katika eneo hilo.

Kumeshuhudiwa mashambulio kadhaa dhidi ya wafanyakazi wa kutoa misaaada katika siku chache zilizopita ,kwa mijibu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo hilo.

Waasi wa kundi la National Salvation Front (Nas) ambalo linaongozwa na jenerali wa zamani wa jeshi Thomas Cirillo Swaka, limekiri kuhusika na shambulio la mwezi uliopita dhidi ya msafara wa makamu wa rais.

Kundi hilo halikuwa sehemu ya mkataba amani uliotiwa saini kati ya serikali na makundi ya upinzani yaliyojihami mwaka 2018 kukomesha papigano yaliyodumu kwa miaka kadhaa

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *