Umoja wa Ulaya watoa wito wa mazungumzo kati ya Uturuki na Ugiriki, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on September 1, 2020 at 3:00 pm

September 1, 2020

Mvutano  katika  bahari ya Mediterania,  Umoja wa Ulaya watoa wito wa mazungumzo kati ya Uturuki na Ugiriki.Kufuatia  mvutano  uliopo kati ya Uturuki na Ugiriki katika bahari ya Mediterania , Umoja wa Ulaya  watoa wito wa  mazungumzo kati ya Uturuki na Ugiriki ili kutatua mzozo huo kwa njia ya diplomasia.Ugiriki ambayo imesaini makubaliano ya mipaka ya majini na Misri,  imepinga makubaliano ya kimataifa inajiandaa  kwa chokochoko mpya.Uturuki kutetea haki zake katika  Bahari ya Mediterania  Mashariki  inaishuhulisha Ugiriki.Ugiriki kila kukicha  imekuwa ikianzisha chokochoko dhidi ya Uturuki.Katika mahojiano aliofanya katika jarida la Realnews, waziri wa mambo ya nje wa Ugiriki Nikos Dendias amefahamisha  kusainiwa  makubaliano   katika sekta ya uchumi  na Kupro ya  Ugiriki.,

Mvutano  katika  bahari ya Mediterania,  Umoja wa Ulaya watoa wito wa mazungumzo kati ya Uturuki na Ugiriki.

Kufuatia  mvutano  uliopo kati ya Uturuki na Ugiriki katika bahari ya Mediterania , Umoja wa Ulaya  watoa wito wa  mazungumzo kati ya Uturuki na Ugiriki ili kutatua mzozo huo kwa njia ya diplomasia.

Ugiriki ambayo imesaini makubaliano ya mipaka ya majini na Misri,  imepinga makubaliano ya kimataifa inajiandaa  kwa chokochoko mpya.

Uturuki kutetea haki zake katika  Bahari ya Mediterania  Mashariki  inaishuhulisha Ugiriki.

Ugiriki kila kukicha  imekuwa ikianzisha chokochoko dhidi ya Uturuki.

Katika mahojiano aliofanya katika jarida la Realnews, waziri wa mambo ya nje wa Ugiriki Nikos Dendias amefahamisha  kusainiwa  makubaliano   katika sekta ya uchumi  na Kupro ya  Ugiriki.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *