Uingereza yasema Urusi ina maswali magumu ya kujibu kuhusu Navalny, on September 6, 2020 at 1:00 pm

September 6, 2020

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Dominic Raab amesema leo kuwa Urusi lazima ieleze kuhusu vipi kiongozi wa upinzani nchini humo Alexei Navalny alipewa sumu katika kile Ujerumani imesema ni kemikali ya Novichok.Raab amekiambia kituo cha habari cha Sky kwamba kile kilicho wazi kwasasa ni kwamba serikali ya Urusi ina maswali mengi magumu ya kujibu.Raab ameongeza kuwa iwapo tukio hilo lilihusisha serikali au la, Urusi ina jukumu la kuhakikisha kuwa silaha za kemikali hazitumiwi nchini humo.,

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Dominic Raab amesema leo kuwa Urusi lazima ieleze kuhusu vipi kiongozi wa upinzani nchini humo Alexei Navalny alipewa sumu katika kile Ujerumani imesema ni kemikali ya Novichok.

Raab amekiambia kituo cha habari cha Sky kwamba kile kilicho wazi kwasasa ni kwamba serikali ya Urusi ina maswali mengi magumu ya kujibu.

Raab ameongeza kuwa iwapo tukio hilo lilihusisha serikali au la, Urusi ina jukumu la kuhakikisha kuwa silaha za kemikali hazitumiwi nchini humo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *