Uingereza yapiga marufuku mikusanyiko ya watu zaidi ya 6, on September 9, 2020 at 8:00 am

September 9, 2020

Zuio hilo litaanza kufanya kazi kuanzia Jumatatu, Septemba 14, 2020 kutokana na ongezeko jipya la maambukizi ya COVID19 na wale watakaokiuka zuio hilo watatozwa fainiMaambukizi mapya takriban 2,640 yameripotiwa siku ya Jumanne ikiwa ni ongezeko la visa 1,000 kwa siku tangu mwezi AgostiMpaka sasa Uingereza inakadiriwa kuwa na maambukizi 350,000 ya Corona Virus pamoja na vifo 40,000,

Zuio hilo litaanza kufanya kazi kuanzia Jumatatu, Septemba 14, 2020 kutokana na ongezeko jipya la maambukizi ya COVID19 na wale watakaokiuka zuio hilo watatozwa faini

Maambukizi mapya takriban 2,640 yameripotiwa siku ya Jumanne ikiwa ni ongezeko la visa 1,000 kwa siku tangu mwezi Agosti

Mpaka sasa Uingereza inakadiriwa kuwa na maambukizi 350,000 ya Corona Virus pamoja na vifo 40,000

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *