Ufungaji wa mafunzo ya ndoa mkupuo wa sita wafanyika Zanzibar, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 31, 2020 at 8:00 am

August 31, 2020

 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Ndoa waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.Msomaji wa Kur-ani Afrika Mashariki Rajab Ayoub akisoma   katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar. Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akimkabidhi Cheti  cha Ushiriki wa Mafunzo ya Ndoa Mwanafunzi Aboud Iddi Mahmoud katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar. -Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akimkabidhi Cheti  cha Ushiriki wa Mafunzo ya Ndoa Mwanafunzi Afia Ali Mohamed  katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.  ,

 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Ndoa waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

Msomaji wa Kur-ani Afrika Mashariki Rajab Ayoub akisoma   katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

 Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akimkabidhi Cheti  cha Ushiriki wa Mafunzo ya Ndoa Mwanafunzi Aboud Iddi Mahmoud katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar. 

-Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akimkabidhi Cheti  cha Ushiriki wa Mafunzo ya Ndoa Mwanafunzi Afia Ali Mohamed  katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Sita iliofanyika katika Ukumbi wa Masjid Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar. 

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *